Thursday, August 27, 2015

nakuombea lyrics samir - good_music_forever



Samir - Nakuombea

mmmmh samir
oooh ooh
mmmh
mahewa records
uuuh uuh
ooooooh
mmmh
penzi lako tunda
lenye rangi nzuri
ukimenya chungu
mi naponea mavumba
unanipa dawa
kaunda mzungu
nitazamapo jua linazama
ishara ya siku imekwisha
nazidi amini kuna kiama
ndio siku ya Mungu kunilipa yote
na namba zako
 rafiki zako wananigomea
majibu yako
we okay hutaki kusumbuliwa

ila mi bado nakanda roho yangu
hayaa
nakuombea Mungu
usimwache mwenzangu
sawaa
(x2)

mmmh mmh
mimi bado mahututi
 mgonjwa wa hali
nasali
najilinda madhubuti
niepuke na shari
niende mbali
mimi bado mahututi
 mgonjwa wa hali
nasali
najilinda madhubuti
niepuke na shari
niende mbali
ni kama mama kuku
aligawa mtoto kwa mwewe
aponyeshe wengine
si kama ameridhia
ila we umekula yai
umeshindwa kuatamia
nisichothubutu na kamwe
useme nikakuroge kwa mganga
msimu ni wa jua
ukame
siwezi hata kupanda karanga
hapana

na namba zako
 rafiki zako wananigomea
majibu yako
we okay hutaki kusumbuliwa

ila mi bado nakanda roho yangu
hayaa
nakuombea Mungu
usimwache mwenzangu
sawaa
(x2)

wanasema mi mboga
 ulinitoweza
ningekua mtamu
ungekombeleza (sio mtamu)
wanasema wenzangu
 wanakuweza
eti mimi nitoke
we umeteleza
(x2)

ila mi bado nakanda roho yangu
hayaa
nakuombea Mungu
usimwache mwenzangu
sawaa
(x2)







0 comments:

Post a Comment