Tunapenda kufafanua kuwa taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa orodha ya majina ya waombaji wa Mikopo waliofanikiwa kwa mwaka wa masomo 2015/2016 imetoka sio za kweli. Kwa sasa, kazi ya uchambuzi wa maombi ya mikopo yaliyowasilishwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu bado inaendelea.
Mwisho.
http://www.heslb.go.tz/index.php/application-guidelines/187-taarifa-ya-ufafanuzi
0 comments:
Post a Comment