Showing posts with label home. Show all posts
Showing posts with label home. Show all posts

Sunday, November 1, 2015

Ufafanuzi toka bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB

Tunapenda kufafanua kuwa taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa orodha ya majina ya waombaji wa Mikopo waliofanikiwa kwa mwaka wa masomo 2015/2016 imetoka sio za kweli. Kwa sasa, kazi ya uchambuzi wa maombi ya mikopo yaliyowasilishwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu bado inaendelea.

Mwisho.
Source heslb cheki link hii kwa ufafanuzi zaidi.
http://www.heslb.go.tz/index.php/application-guidelines/187-taarifa-ya-ufafanuzi

Thursday, October 8, 2015

ingia hapa kujua umepangiwa chuo gani kwa mwaka 2015/2016 (tcu, cas 2015/2016)

Kuangalia umepangiwa chuo gani kwa urahisi kabisa, click link hii hapa chini, itakupeleka moja kwa moja kwenye selection zako.
http://cas.tcu.go.tz/users/login

Sunday, September 20, 2015

kwanini glass huweza kupasuka ikiwekewa maji ya moto (WHY DOES GLASS BREAK WHEN POURED WITH HOT WATER)

glass huweza kupasuka ikiwekewa kimiminika cha moto kwa sababu kuu moja, glass inapowekewa kitu cha moto, mabadiliko hayo ya jotoridi hupokelewa na upande wa ndani wa glass, joto hilo husababisha upande huo wa glass kutanuka, endapo upande wa nje wa glass utatanuka kwa uwiano wenye tofauti kubwa na ule wa ndani basi nyufa huweza kutokea kwenye glass hiyo, na hatimaye kupasuka kabisa.
Vivyo hivyo maji ya baridi sana huweza kupasua glass endapo mabadiliko ya jotoridi la ndani ya glass yatatofautiana na ya nje kwa uwiano mkubwa, yaani kusinyaa kwa glass upande wa ndani utatofautiana sana na upande wa nje.

NINI KIFANYIKE KUZUIA HI
1. Mimina maji au kimiminika chako taratibu ili kuifanya glass iendane na jotoridi la kiminika hicho, hii itasaidia kuepukana na tatizo la kupasuka kwa glass yako
2. Pia kwa kimiminika cha moto glass yaweza kupashwa moto kwa kuiweka sehemu yenye digrii 40-50 za jotoridi

UNAWEZA JIFUNZA KITU KINGINE PIA HAPO
Hata katika maisha ya kawaida ya binadamu, kupokea mabadiliko yoyote, ni lazima uwe umejiandaa kuyapokea, na mabadiliko yoyote yale kwa mtu yanaanzia kwake, yaani moyoni mwake, ukiwa tayari kubadilika wewe ndipo mtu mwingine anaweza kukuletea mabadiliko.
CHANGE NI WEWE.

Thursday, September 17, 2015

majina ya waliokosa vyuo (wanaotakiwa kuomba kwa mara nyingine 2015?2016)

Click link hii kuangalia majina ya wanaotakiwa kuomba kwa mara nyingine kujiunga na vyuo vikuu 2015/2016. Hii ni baada ya kukosa nafasi katika maombi yao ya kwanza.
 Kwa herufi kati ya A-H
http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group%20(A_H).pdf
  Kwa herufi kati ya I-L
http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group%20(I_L).pdf
 Kwa herufi kati ya M-N
http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Group%20(M_N).pdf
 Kwa herufi kati ya O-Z
http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Gruop%20(O_Z).pdf